Further comment by Jacob wrote: 'Sadly outbreaks of cholera (kipindupindu) occur regularly in Tanzania. As you probably know it is usually caught by drinking contaminated water and while most cases are not fatal if the patient is kept hydrated with saline solution, deaths are common. Safe water supplies and good sanitation are the prevention - still a major probem throughout sub saharan Africa. See http://www.wateraid.org.uk for more information if you are interested.'
Hafidh Khamis Musa wrote: 'Natumai kuwa barua hii utaipokea ukiwa ni mzima wa afya na mwenye hali ya uchangamfu kama mimi.
Sisi sote hatujambo na wazima wa afya na mwenye hali ya uchangamfu.
Madhumuni ya barua hii ni kukusalimia na kukujuilia hali zenu,vipi hamjambo? Na vipi hali ya hewa?
Kwetu sisi hali ni nzuri na maradhi yameshaanza kupungua kwani kulikuwa na maradhi ya kipindupindu,kwani maradhi haya ni hatari kweli kweli,yakikupata mwisho masaa hisabu mpaka yakifika masaa nane safari ya kwenda kaburini.
Madhumuni ya barua hii ni kukusalimia tu.
Jamaa woe hawajambo?wape salamu nyingi wambie mimi sijambo na naendelea vizuri.
Mimi sina mengi ila nakutakieni maisha mema.Amiin'
Sarah wrote: 'WOW, I loved your site. I share the same passion for travel and photography that I sense from your web site. Congradulations!!!'
Comments
Further comment by Jacob wrote: 'Sadly outbreaks of cholera (kipindupindu) occur regularly in Tanzania. As you probably know it is usually caught by drinking contaminated water and while most cases are not fatal if the patient is kept hydrated with saline solution, deaths are common. Safe water supplies and good sanitation are the prevention - still a major probem throughout sub saharan Africa. See http://www.wateraid.org.uk for more information if you are interested.'
Hafidh Khamis Musa wrote: 'Natumai kuwa barua hii utaipokea ukiwa ni mzima wa afya na mwenye hali ya uchangamfu kama mimi. Sisi sote hatujambo na wazima wa afya na mwenye hali ya uchangamfu. Madhumuni ya barua hii ni kukusalimia na kukujuilia hali zenu,vipi hamjambo? Na vipi hali ya hewa? Kwetu sisi hali ni nzuri na maradhi yameshaanza kupungua kwani kulikuwa na maradhi ya kipindupindu,kwani maradhi haya ni hatari kweli kweli,yakikupata mwisho masaa hisabu mpaka yakifika masaa nane safari ya kwenda kaburini. Madhumuni ya barua hii ni kukusalimia tu. Jamaa woe hawajambo?wape salamu nyingi wambie mimi sijambo na naendelea vizuri. Mimi sina mengi ila nakutakieni maisha mema.Amiin'
Sarah wrote: 'WOW, I loved your site. I share the same passion for travel and photography that I sense from your web site. Congradulations!!!'
salum wrote: 'salum kwa wote'